| 
			 
			 
			 
			Bonvenon en la retejo
			de la Agado por Lingvaj Rajtoj en la mondo.
  
			Informado, 
			diskuto, intervenoj 
			pri
			 
			Lingvaj Homaj Rajtoj: 
			
  
			www.linguistic-rights.org   
			 
			 
			 
			
			
		
		
			
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
			 
			
			
			
						
			
			
			
			
			
			 
			 
				
		
			
			
Lingvaj Rajtoj
 
Derechos Lingüísticos
 
الحقوق اللغوية
 
Droits Linguistiques
 
ЯЗЫКОВЫЕ ПРАВА 
 
Linguistic Rights
 
语言权
 
언어권리
 
Sprachliche Rechte
 
Nyelvi jogok
 
حقوق زبانی 
 
สิทธิทางภาษา 
 
Diritti linguistici
 
Sproglige rettigheder 
 
Jazyková práva 
			
			  
			
			 
			
			
			
			
		 | 	
	
	
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
		
		
	
	
	
	
	
	
				
		
	
				
	
 
				
			 
				albana | sq | Shqip
				
   *  angla | en | English
   *  araba | ar |  العربية
   *  ĉeĥa | cs | Čeština
    *  ĉina | zh | 简体中文 
 
 dana | da | Dansk
   *  esperanta | eo | Esperanto
   *  farsia | fa | فارسی - Parsi/Farsi
   *  finna | fi | Suomi
   *  franca | fr | Français
   
    germana | de | Deutsch 
   *  greka | el | ελληνικά
   *  hispana | es | Español
   *  hungara | hu | Magyar
   *  itala | it | Italiano
 
   nederlanda | nl | Nederlands
   *  pola | pl | Polski  
   *  portugala | pt | Português
   *  serba | sr | Srpski/српски
   *  slovaka | sk | Slovenčina  
 
	   sveda | sv | Svenska  
	 *   svahila | sw | Kiswahili  
	 *   taja | th | ภาษาไทย
 
 
 
 
   *  tajvana  | zh/tw | 繁體中文 
 
	 *   turka | tr | Türkçe  
  
				
					
	
	
	
	
	
	
	
	
	
	
																								 														
		
	
	
		
		
		albana | sq | Shqip
		
  
		  
 
			JPG, afiŝo | Facebook, reto
 
→ 
21 shkurt 2018
 
Dita Ndërkombëtare e Gjuhës Amtare
		 | 
	
	
	
		
		angla | en | English
		
  
		
 
 
			JPG, afiŝo | Facebook, reto
 
→ 
21st February 2018
 
International Mother Language Day
		 | 
	
	
	
		
		araba | ar |  العربية
		
  
		
 
 
			JPG, afiŝo | Facebook, reto
 
		 | 
	
	
		
		ĉeĥa | cs | Čeština
		
  
		
 
 
			JPG, afiŝo | Facebook, reto
 
→ 21. února 2018
 
Mezinárodní den mateřského jazyka
		 | 
	
	 
	
	
	 
	
		
	
	
		
		ĉina | zh | 简体中文
		
  
		
 
 
			JPG, afiŝo | Facebook, reto
 
→ 
2018年2 月21日
 
国际母语日
		 | 
	
 
	
		
		dana | da | Dansk
		
  
		
 
 
			JPG, afiŝo | Facebook, reto
 
→ 
21. februar 2018
 
Den Internationale Modersmålsdag
		 | 
	
		
		esperanta | eo | Esperanto
		
  
		
 
 
			JPG, afiŝo | Facebook, reto
 
→ 
21a de februaro 2018
 
Internacia Tago de la Gepatra Lingvo
		 | 
	
		
		farsia | fa | فارسی - Parsi/Farsi
		
  
		 
 
 
			JPG, afiŝo | Facebook, reto
 
→ 21 فوریه 2018
 		 
	روز جهانی زبان مادری
		 | 
		
		
	 
	
		
	
		
		
		
		finna | fi | Suomi
		
  
		
 
  
			JPG, afiŝo | Facebook, reto
 
→ 
21 helmikuuta
 
Kansainvälinen äidinkielen päivä
 
(publikigota)
		 | 
	
	
	
		
		franca | fr | Français
		
  
		 
 
			JPG, afiŝo | Facebook, reto
 
→ 
21 février
 
Journée internationale de la langue maternelle
		 | 
	
		
		germana | de | Deutsch
		
  
		 
  
			JPG, afiŝo | Facebook, reto
 
→ 
21. Februar
 
Internationaler Tag der Muttersprache
		 | 
	
	
	
	
		
		greka | el | ελληνικά
		
  
		 
 
 
			JPG, Afiŝo | Facebook, reto
 
→ 
21η Φεβρουαρίου
 
Παγκόσμια Ημέρα της Μητρικής Γλώσσας
		 | 
	
	
	
	
	 
	 
	
	
		
	
		
		
		hispana | es | Español
		
  
		 
 
 
			JPG, Afiŝo | Facebook, reto
 
→ 
21 de febrero de 2018
 
Día Internacional de la Lengua Materna
		 | 
		
		
		
		hungara | hu | Magyar
		
  
		 
 
 
			JPG, Afiŝo | Facebook, reto
 
		 | 
	
				
		
		itala | it | Italiano
		
   
		 
 
 
			JPG, Afiŝo | Facebook, reto
 
→ 21 febbraio 2018
 
Giornata Internazionale della Lingua Madre
		 | 
				
						
		
		nederlanda | nl | Nederlands
		
  
		 
 
 
			JPG, Afiŝo | Facebook, reto
 
→ 
21 februari 2018
 
Internationale Dag van de Moedertaal
		 | 
				
				
	
	 
	
	
		
	
	
	
	 
		
		pola | pl | Polski
		
   
		
 
 
			JPG, afiŝo | Facebook, reto
		 | 
	 
	
			
	
		
		portugala | pt | Português
		
  
		
 
 
			JPG, afiŝo | Facebook, reto
 
→ 
21 de fevereiro 2018
 
Dia Internacional da Língua Materna
		 | 
	
	
	
		
		serba | sr | Srpski/српски
		
  
		
 
 
			JPG, afiŝo | Facebook, web
 
→ 21. фебруар 2018.
 
Међународни дан матерњег језика
		 | 
		
		
		slovaka | sk | Slovenčina
		
  
		
 
 
			JPG, afiŝo | Facebook, web
 
		 | 
	
	
		 
	
		
	
	
	
		
		sveda | sv | Svenska
		
  
		 
 
			JPG, afiŝo | Facebook, web
		 | 
	
		
	
		
		svahila | sw | Kiswahili
		
  
		
 
 
			JPG, afiŝo | Facebook, web
 
→ 
Tarehe 21 Februari 2018
 
Siku ya kimataifa ya lugha la wazazi
		 | 
		
		
		
		
		
		
		taja | th | ภาษาไทย
		
  
		
 
 
			JPG, afiŝo | Facebook, web
		 | 
		
		
		
		
		
		
		
		
		
		tajvana | zh/tw | 繁體中文
		
  
		
 
 
			JPG, afiŝo | Facebook, reto
 
→ 2018年2 月21日 
 
		  國際母語日
	
		 | 
		
		
		
		
		
		
		
		
		
		
		
		
		
	 
	
	
	
	
	
	
	
		
	
	
	
	
	
		
		
		turka | tr | Türkçe
		
  
		
 
 
			JPG, afiŝo | Facebook, web
 
→ 
21 Şubat 2018
 
Uluslararası Ana Dili Günü
		 | 
		
		
	
	
		
	
		
		..... | .. | .....
		
  
		
		 | 
	
	
	
	
	
	
		
		..... | .. | .....
		
  
		
		 | 
	
	
	
	
	
		
		..... | .. | .....
		
  
		
		 | 
	
	
	
	
	
	
	
	
  								
	
	
	
	
	
	
	
	
	
	
	
	
	
	
	
				
	 
				
				
				
				
								
				
				
	
				
						
				
					
				
										
												
													 
													 	
										
												 
													
													
													
 
 
			 	
												
	
		
		Tarehe 21 Februari 2018 
 
		 
		Siku ya kimataifa ya lugha la wazazi
		
	 
	
	
Mnamo tarehe 21 Februari 1952 wanapolisi waliuwa kwa masasi ndani ya chuo kikuu cha Dake (Bengali ya kaskazini), mji mkuu wa Bangladesh ya sasa, wanafunzi wengi mno waliokuwa wakiandamana. Hawa wanafunzi walifanya maandamano kusudi lugha lao likubaliwe, Bengala (bangla / bn / বাংলা ভাষা), ambalo walitaka ondoa kwenye orodha ya lugha za chuo hicho na kutoa nafasi hii kwa "lugha kubwa zaidi" linalo tumiwa na watu wenye nguvu wa wakati ule.
	 
	 
	
Ni jambo linalo endelea hata sasa kupitia njia mbalimbali, katika dunia nzima na katikaa historia, si katika Azia tu, ila na katika bara zengine kama katika inchi nyingi za ulaya. Hiyo hutendeka sana kikawaida kupitia makusudi na kushurtishwa kutumia lugha, hasa sana Kiingereza na inchi hodari zaidi kifedha, kiserekali na kijeshi kwa kuimarisha msimamo wao katika ulimwengu - kwa kugandamiza lugha za wazazi. "Niko mwenye nguvu, nyamanza kimwa ao ukitaka ongea, ongea lugha langu".
	 
	 
	
Ndivyo lugha zinavyopotea polepolee na kukufa kabisa na watu wote hupoteza mali kubwa kimaarifa - kama wanavyosema wahusika walugha.
 
 
Tena kuzuia haki kwa watu na tatizo za kipsikologia zinazotukana na kupotea kwa kutotumia lugha la wazazi, na kutoelewa zaidi lugha la kutushurtisha, ni ya maana kuelewa pia mambo mengine: Utofauti wa kibiologia na wakilugha hauwezi achana hata kamwe kwani zinaambatana na kusaidiana. Kupoteza utofauti wa lugha husababisha kupotea kwa ujuzi wa kitamaduni hasa kwa kuendelesha utofauti wa kibiologia, kwa ajili ya maisha. (tangazo la mwisho, la mkutano wa 64 wa UN, NGO, Bonn, 2011 (1), Terralingua (2))
 
 
Mnamo tarehe 17 Novemba 1999, UNESCO ilitangaza kwamba tarehe 21 Februari ni siku kuu ya kimataifa ya lugha la wazazi. Katika mwaka wa 2007 pia Mkutano Maalmu ya Umoja wa Mataifa (3) ilialika inchi zinazohusika "kusogeza mbele kuchunga na kukinga lugha zote zinazo tumiwa na watu wa dunia", ikatangaza 2008 kuwa mwaka wa kimataifa ya lugha. (4)
 
 
Mnamo mwaka wa 2014 Unesko iliweka dani ya tovuti yake tafsiri ya Kiesperanto ya ujumbe  wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Irina Bokova. (5) 
 
 
Yale yote yana uhusiano na Kiesperanto namna gani? Samani kuu ya siku hii, utofauti na haki ya kila mutu kuongea lugha yake ni samani pia ambazo shirika la kiesperanto ulimwenguni inapiganisha. Sisi, watumiaji wa Kiesperanto, hatutaki kupoteza lugha fulani, tunataka lugha zote ziendelee kuishi, katika heshima zidi haki ya lugha ya kila mutu katika mawasiliano. Kuhusu lengo hili, tangu miaka kazaa; Kikundi cha Kimataifa cha Kiesperanto (Universala esperanto-Asocio, UEA) kinasherekea kihalali siku hii hasa kwa kuonesha kama lugha la Kimataifa Esperanto haiko lakumaliza lugha, kama lugha za uchumi mwingi na uwezo kiaskari.
 
 
Kwa hiyo, Esperanto ni kingo zidi kupotea kwa lugha, kama alivyonena Vigdís Finnbogadóttir (raisi wa Jamuhiri ya Island kati ya mwaka wa 1980 na 1996): "Ni wakati sasa inchi tofauti zifahamu kwamba lugha la wote ingeweza kuwa bora zidi kwa ajili ya tamaduni zao kinyume na uwezo halisi ya lugha moja ao mbili, kama inavyoonekana sana leo.  Ninatumaini hakika kwamba Kiesperanto kitaendele haraka kwa kusaidia inchi zote za ulimwengu." (6)
 
 
Labda kuna mtu anaye uliza tena: "kwa nini Kiesperanto tu?". Sababu ni raisi. Nyuma ya Kiesperanto hakuna inchi, faida kifedha, kupiganisha ya kibeberu ya watu ambao faida yao ingekuwa kupoteza watu wengine, kuziba lugha zao ao kupata masoko zao. Nyuma ya Kiesperanto kuna watu wa roho nzuri tu wa makabila na inchi tofauti ambao wanalenga haki za utamaduni na lugha zote, katika amani kati ya watu wote.
 
 
"Kutia nguvu haki za watumiaji wa kila lugha ni lengo ambalo Kiesperanto kinachangia sana" - Prof. Robert Phillipson (7).
 
 
Kiesperanto ni chombo kinacho endelesha kufikia mawasiliano kamili na makabiliano ya haki kati ya makabila, tamaduni, watu.
 
 
"Natumaini kwamba, Kiesperanto kitazidi kuimarisha lengo hizo mbili ikisaidia utofauti na kwa kuunda umoja" - Rita Izsák-Ndiaye, Mtoaji habari maalumu waUmoja wa Mataifa (8)
 
 
Baadaye, utumiajia wa lugha kilalo Kiesperanto ndani ya mawasiliano ya kimataifa ina rekebisha sheria za lugha na kusaidia watu wote kuimarisha lugha zao. Huu ni ujumbe ambao watumiaji wa Kiesperanto wa ulimwengu wote wanapenda kutumia watu wote ulimwenguni tarehe 21 Februari 2018.
 
 
- Fahamu lugha la kimataifa Kiesperanto, kupitia www.lernu.net! (9)
 
 
 
Toka Kiesperanto kwa Kiswahili alitafsiri: Joel Muhire  Ndaziboneye
 
El Esperanto en la svahilan lingvon tradukis: Joel Muhire  Ndaziboneye, Kongo DR
 
 
	 
	
	Chumba cha habari cha  Kikundi cha Kimataifa cha Kiesperanto ; UEA (10)
 
Renato Corsetti, Stefano Keller, Emilio Cid, Vasil Kadifeli, kun teamanoj 
 
 
Vitangazo: © Peter Oliver/UEA na watafsiri toka inchi tofauti.
 
www.linguistic-rights.org/21-02-2018 
 
 
 
1) www.linguistic-rights.org/dokumento/Final_declaration_64th_UN_DPI_NGO_Conference_Bonn_2011_amendments_Universala_Esperanto_Asocio_UEA.pdf (Kikaratasi cha Umoja wa Mataifa: PDF)
 
2) www.terralingua.org/our-work/linguistic-diversity 
 
3) www.un.org/en/events/motherlanguageday
 
4) 2008 - International Year of Languages | http://www.un.org/en/events/iyl/ 
 
5) www.unesco.org/new/en/unesco/events/prizes-and-celebrations/celebrations/international-days/international-mother-language-day-2014 (UNESCO: PDF)
 
6)  http://www.linguistic-rights.org/uea/Justa_Komunikado_Lingva_Justeco_Vigdis_FINNBOGADOTTIR_prezidento_de_la_Respubliko_Islando_1980_1996.pdf 
 
7) www.linguistic-rights.org/esperanto-125/Dr-Robert-Phillipson-Professor-emeritus-125-years-of-Esperanto.html -  Dr. Tove Skutnabb-Kangas 
 
8) www.linguistic-rights.org/esperanto-125/Rita-Izsak-UN-independent-expert-on-minority-issues.html
 
9) www.lernu.net
 
10) Universala Esperanto-Asocio (UEA) - www.uea.org
 
		
		
		
 
 
		
		 | 
		
	 
 								
																			
 
									
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
						
				
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
					
								
				
				
				
				
								
				
				
	
				
				
				
				 
				
				
				
					
					
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
				
					
	
	 |  
 								
				
				
				
 
  			
				
  
					
				
 
  
 
				 
				
				
				
		 العربية | Беларуская | বাংলা ভাষা | Dansk | Deutsch | English | Español | Esperanto | فارسی | Français | Gaeilge
 
 
ελληνικά | Bahasa Indonesia | Íslenska | 한국어 | Italiano | Magyar | Nederlands | Português | по-русски
 
Slovenčina | Српски | తెలుగు | Türkçe | Українська | 语言权		
		
				
			
				
 		
		
		© 2008-2018 Agado por Lingvaj Rajtoj, UEA    Reguloj pri utiligo | Privateco | Leĝe | Kontakto 
 
 traduko   |  informado   |  retejmapo  
  
 
 
  
	
 |